Jinsi ya kubana matumizi ya mb kwenye simu yako | kama MB zako zinaisha haraka tumia njia hii

Описание к видео Jinsi ya kubana matumizi ya mb kwenye simu yako | kama MB zako zinaisha haraka tumia njia hii

Hii ni video ya kawaida inayo eleza ni njia gan unaweza kutumia ili kupunguza matumizi ya data katika simu yako . Kama MB zinaisha haraka baada ya kujiunga basi jaribu njia hizi ambazo wengi pia hutumia kwaajili ya kupunguza upotevu wa bando katika simu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке