iPhoolish, Katapilla, Unspoken Salaton & Clamer - Lele

Описание к видео iPhoolish, Katapilla, Unspoken Salaton & Clamer - Lele

"Lele" by iPhoolish,Katapilla, Unspoken Salaton & Clamer | Official Lyrical Visualizer
Kindly Subscribe; ‪@Unspokensalaton‬
Stream: https://BlackMarket.lnk.to/lele
#blackmarketrecords #iphoolish #unspokensalaton #katapilla #lele #clamer

Lele Lyrics;
Chorus

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme


Verse

Vile napenda madem Joo Ni kesi
Vita daily Na maboyz yo si freshi
Juzi nlipita Na dem Wa her bestie
Akanitajia popo they tried to arrest me

Nachanganya luku ya mtumba Na ya mall
Mi Ni mbiggy mi si small
Wanangojanga nifall
Yani
But nikirise mindio usimamanga tall
Ka ako lonely yeunicall
Miudishi free ye umtuma more money
Leta mstiri
Ka si doh
Si force
Ndio Ni grow Ni process
More Ni most
Yes I'm a boss
Coz they Call me boss
Ligi Soo
Ofcourse
Ndio Ni arive Ni porche

Chorus

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme


Verse

Bora asiseme wife anpige vita,
Starehe Ndani ya kazi kula pongi lipa,
Ye atasema juu izi inches sio centimetres,
Jogoo hii Kijiji hio ndo reason huwa mi nasifika,

Swali..
what are we??... Mimi spati picha,
Kwa mtaa zako riba sio fresh barida
Ushawasho mechi mi ndo ticha!
Ushanipost Adi kule insta

Buyakaya nko Ndani center ka Yaya,
We utani utanitangaza nagwaya,
Manzi Nna wengi kama page za high flyer mami
Chunga chunga maboi wanaitwa brian


Chorus

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Verse

bora nisiseme niko na ngeus kila place fornication kilimani parkland pin location and the only thing wanataka ni attention my intention
ni kumkula na kutoka siezi kaa nimechoka
akianza filo mingi oh men namtoka I kula one time me siezi 2 time nina shida kubwa na yangu ulele

sazingine ata nashangaa men vile nawapiga nasichoki
sazinginine ata nashangaa men hadi in my head

Chorus

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Nashuku me hukuanga lele
Juu ya design flani me hupenda madenge
Peng ting kejani kwangu kadere
Ako na chali? Atanipea bora nisiseme

Lele 3 Piece;
https://drive.google.com/drive/folder...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке