Familia moja huko Nakuru yamtafuta jamaa yao

Описание к видео Familia moja huko Nakuru yamtafuta jamaa yao

Familia moja eneo la Lanet kaunti ya Nakuru inamtafuta mwana wao aliyetoweka alhamisi wiki hii baada ya kushiriki maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa 2024 jijini Nairobi wiki iliyopita na wiki hii katika kaunti ya Nakuru. Na kama ripota wetu Maryanne Nyambura anavyoarifu, kijana huyo Kevin Gathura mwenye umri wa miaka ishirini na tisa alipata ujumbe kutoka kwa mtu anayejiita Willy wa GSU kuwa anasakwa kwa sababu ya kujihusisha na maandamano ya vijana wa Gen Z.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке