NGAO YA JAMII 2024 | Azam FC na Simba SC wakichukua medali zao za washindi wa pili na wa tatu

Описание к видео NGAO YA JAMII 2024 | Azam FC na Simba SC wakichukua medali zao za washindi wa pili na wa tatu

Azam FC wameibuka washindi wa pili baada ya kufika fainali na kupoteza mchezo kwa kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya Yanga huku Simba wakiipata nafasi a tatu baada ya kuifunga Coastal Union bao 1-0.

Hii ni #NgaoYajamii

Комментарии

Информация по комментариям в разработке