Chini ya Bawa lako (Official Video) by John Simba from

Описание к видео Chini ya Bawa lako (Official Video) by John Simba from

Chini ya Bawa lako, sio wimbo tu bali ni maombi, Ukifuatilia kwa makini maneno ya Wimbo huu utaona kuwa mtunzi alikusudia kufanya maombi.

Ni maombi yangu kwamba sisi sote tuungane na mtunzi kuimba na kumuomba Mungu atufiche chini ya Bawa lake.

Haleluya!

Комментарии

Информация по комментариям в разработке