WEMA Sepetu Akicheza Iokote Amwaga Miuno Mlimani City

Описание к видео WEMA Sepetu Akicheza Iokote Amwaga Miuno Mlimani City

LIVE: RED Carpet Birthday ya Wema Sepetu Mlimani City

Usiku wa Septemba 28, ulikuwa ni wa furaha sana kwa Muigizaji nguli Bongo, Wema Sepetu ambaye alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa.

Hafla ya kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ameifanya katika ukumbi wa Mlimani City ambapo siku hiyo pia amezindua filamu yake yake 'Day After Death' ambayo ameshirikiana na muigizaji nguli kutoka Nchini Ghana anayeitwa Van Vicker.

bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1    / uwazi1   WEBSITE:

https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке