Je unazijua kofia za vito?

Описание к видео Je unazijua kofia za vito?

Hizi ni Kofia za kitamaduni zinazopatikana sana katika jamii ya waswahili kutoka maeneo ya pwani. Kofia hizi zipo za aina tofauti na utengenezaji wake sio rahisi bali ni ujuzi unaopatikana katika visiwa vya Lamu, Mombasa na Zanzibar. Zaidi angalia vidio hii #kurunzi05.12.2022

Комментарии

Информация по комментариям в разработке