Man rapes lady who sent him porn video in Kibera | Sheng News

Описание к видео Man rapes lady who sent him porn video in Kibera | Sheng News

Kwenye Ghetto Radio #ShengNews ya leo (May 24th 2022) uki decodiwa na Muhando, Kuna mjango amefikishwa mbwenya kibich ati ali rape mdenge flani after wame watch na yeye nguati.

Huyo msupa ndio alimtumia hio vida kwa tenje, wakaikemba kijamo.
Benard Ndungu Ngumbi alichargiwa mbele ya Kibera senior principal magistrate Phillip Mutua, lakini akakwara charges.

Charge sheet inadai alimrape huyo mdenge Kibera Laini Saba.
Count ya mbexe yenye ali chargiwa ni committing an indecent act with an adult contrary to the law.
Kotiko ilichapiwa vile huyo complainant ndio alimtumia huyo morio hio porno, baaden akamtembelea kwa stall yake penye Benard hundonyo mandicla.

Hio stall iko Railway hapo namba nane.
After kuwatch hio nguati pamoja, mahanjam zilizidi bazenga, wakaamua kuishia kwa keja yake na sekete ilitamba.

After hapo jama amejipata na kesi ya rape, wataendelea kukesi on June 6th.
Alikwara charges na akakanjwa bondiko ya mote soo mbexe.
Video Created by Elee Global
#shengnews #ghettoraDIO #Kenyanews

Комментарии

Информация по комментариям в разработке