MBINU ZA KUSHINDA JOB INTERVIEW

Описание к видео MBINU ZA KUSHINDA JOB INTERVIEW

Pamoja na maandalizi mazuri ya usaili unayopaswa kuyafanya unahitaji kujua mbinu zinazoweza kukusaidia kufanya vizuri kwenye usaili wa kazi. Video hii ni mahususi kwa ajili ya kuanisha mbinu za kushinda job interview. Karibu.
__________________________________________________________________________
The HR Tanzania Kelvin Mwita Job interview

Комментарии

Информация по комментариям в разработке