Baada ya mkasa wa Endarasha swali kuu ni wanafunzi wako salama shuleni?

Описание к видео Baada ya mkasa wa Endarasha swali kuu ni wanafunzi wako salama shuleni?

Mkasa wa moto kwenye shule ya Hillside Endarasha Academy ni kumbukumbu kwa taifa kuhusu hatari zilizopo katika shule yetu nchini, inasikitisha kuwa, licha ya mikasa ya moto na ripoti mbalimbali zilizotoa mapendekezo, shule, ziwe za umma au hata za binafsi bado si salama huku ripoti ya mkaguzi wa serikali ya mwaka 2020 ikiashiria kuwa zaidi ya asilimia 75 ya shule huenda si salama.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке