Jinsi ya kupika vitumbua laini sana kirahisi na tamu sana | Rice cakes recipe

Описание к видео Jinsi ya kupika vitumbua laini sana kirahisi na tamu sana | Rice cakes recipe

leo nimewaletea mapishi rahisi ya vitumbua laini
Mahitaji:
kikombe kimoja na nusu mchele
vikombe viwili kasoro tui la nazi
kikombe kimoja sukari
kijiko kimoja kidogo hamira
nusu kijiko kidogo hiliki


keki, vitumbua, vitumbua laini, vitumbua moto moto, tamu, laini, viazi, kachori, mapishi, tanzania, keki tanzania, kuoka keki, keki dar, kuoka na kupamba keki, kujifunza keki, cake, cake baking, cake making, mapishi rahisi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке