MIAKA 150 YA UKRISTO TANZANIA NA DAVID B. WASONGA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU

Описание к видео MIAKA 150 YA UKRISTO TANZANIA NA DAVID B. WASONGA - KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU

Tumsifu Yesu Kristu,
Tunaendelea kuwakaribisha kujipatia album yetu mpya ya video inayoitwa HERI KUCHAGUA JINA JEMA. Tuendelee kuwapongeza ma baba zetu wa kiroho walipoadhimisha miaka 150 ya ukristo tanzania bara. Wimbo huu ni maalum kabisa kwa ajili ya kuendelea kuwapongeza na kuwaombea kwa Mungu awasaidie katika utume wao. Album hii imesheheni nyimbo kemkem ambazo ni

1. Mfanyieni Bwana Shangwe - P.F Mwarabu
2. Aliyeacha nyumba - Celestine Kapama
3. Aleluya Mshukuruni Bwana - Charles Saasita
4. Gloria - Antonio Vivald
5. Heri kuchagua jina jema - Richard Mloka
6. Ave Maria - Bach/Gounod
7. Tufuate Mfano - Fortunatus B. Mallya
8. Miaka 150 ya Ukristo Tanzania - David Benjamin Wasonga
9. Mwimbieni Bwana - Celestine Kapama
10. Nimekutumaini - Joseph Makoye
Kwa mahitaji ya album hii wasiliana nasi kwa simu namba +255755816669/0659557769


MANENO YA WIMBO
MIAKA 150 YA UKRISTO – D.B WASONGA
Miaka mia moja hamsini ya ukristo hapa Tanzania hatuna budi kumshukuru Mungu kwa aupendo aliotuonesha tumshukuru kwa kutujalia kutujalia kufikia hapa tuseme asante kwa kufika hapa shime sote tushukuru kwa upendo huu mkuu alotuonesha kwetu.
Umisionari umefanikiwa ukristo umeimarika tumepata mapadre wengi wazalendo hayo yote nimafanikio hatuna budi kumshukuru Mungu wetu
Tumshukuru Mungu kwa yote haya, tuseme asante kwa baraka hizi
Tuendelee kumuomba Mungu atujalie kukua Zaidi tuwe mfano kwa afrika yote na duniani kote ili Kanisa lizidi kuimarika
Tunapomshukuru Mungukwa mafanikio haya tuna haki ya kushangilia
Ukristo oye oye







Jesus,GOD,LOVE,FAITH,Bible,Christian,Godislove,JesusSaves,Jesuschrist,jesusislord,godisgood,Christ,Hope,Pray,ChristianQuotes,Holybible,Christianity,prayer,truth,Holyspirit,blessed,amen,bibleverse,instapray,church,Jesuslovesyou,Lord,GRACE,Photography,worship,jesus christ,christ,bible,religion,spirit,holy,god,christian,catholic,roman catholic church,pope,christianity,roman empire,christian church,pray,jewish,israel,bible study,baptism,pope francis,sermon

Комментарии

Информация по комментариям в разработке