KWAKO MAMA (Official audio)

Описание к видео KWAKO MAMA (Official audio)

Huu wimbo ni mahsusi kwaajili ya kina Mama wote Duniani
kutambua umuhimu wa Mama katika malezi Tangu ukiwa tumboni mpaka unafika ulipo Haijalishi mama alikulea ,alikukimbia akakatupa au lah! lakini kila mmoja wetu alikaaa TUMBONI kwa mama.TUWAPENDE MAMA ZETU NA KUWATHAMINI POPOTE PALE PASINA KUANGALIA MAPUNGUFU YAO.
HUU WIMBO NIMEMSHIRIKISHA #QJAY KUTOKA WAKALI KWANZA AMEIMBA KIITIKIO.
WIMBO:KWAKO MAMA
MSANII:FRANCKIE TOWER FT Q JAY
MUANDAAJI:KING FENYA &Q THE DON
STUDIO:PANGO RECORD

#Franckietower#kingfenya#qthedon#Qjay.

SONG LYRICS.
OUTRO.
Yeeeee,yeeeh

Verse1
ahh
Ni kwako Mama, pokea salamu toka kwa mwana/
Namshukuru Maulana, kwa kunijalia kiongozi mwema/
Mama leo na nena, nisikilize ninayosema/
Tokea tumboni nahema, nuru ikashuka ukapata hizo rehema/

Sikuwa na akili, wala uwezo wakufikiri/
Lipi baya na zurii, ulinilnda hadi vya shari/
Pole sana ,Mama, mara nyingine tulikosana/
Haukwisha kinikanya, ndio maana nakupa heshima/

Miezi tisa ulinitunza, tumboni kwako Mama/
Changamoto ulizopitia, haukukata tamaa /
Mungu akamulika taa, mama yangu ukanizaa/
Ukanitunza nikakua, changamoto ukakaza/

U mzazi wa hekima, mwenye busara/
Kwangu kwa maana, ni bora bila bila/
Hauishi kutupenda, kwa mungu more sala/
Mungu wa pili mwenye, maana, unayejali maisha ya mwana/
MAMA.

CHORUS(qjay)
EEH MAMA ayayayaya Umenifunza vitu vingi Mama
ayayaya ,ni we ni we niwewe MAMA.ayayaya MAMA
AYAYA ,UUUHHHH ,UUUHHH MAMAAA
AAAAAHA AAAAHAAAAAA.

VERSE II(franckietower)
Yooh napiga magoti kwako , mama, nakupa heshima yako mama/
Na sina ubabe kwako MAMA, sema c hochote mimi ni mwanako/
tuwapo wawili hunisomesha /
sioni wa kulinganisha, mungu akupe maisha marefu/ MAMA/

dua njema naziomba, bila yako wewe aloo sitoshinda/
na kamwe sitogomba mbele yako, maana wewe ndio mwamba/
wengine wanawacheza wazazi, wao kutowatukuza/
na kamwe sitokuudhi, bado nahitaji yako malezi,unaniacha na simanzi /nionapo lako chozi. MAMA/

Tusiwatese Mama zetu,hakuna mama mbaya/
wengine wamewapoteza wazazi rest in peace/
Mama ni dhahabu .asiempenda ni wa ajabu! (MAMA)

CHORUS(qjay)
MAMA ayayayaya Umenifunza vitu vingi mama
ayayaya ,ni we ni we niwewe MAMA.ayayaya MAMA
AYAYA ,UUUHHHH ,UUUHHH MAMAAA
NI WEEEEWEWEWEW MAMA
NI WEEEEWEWEWEWEW MAMA.
OUTRO
AYAYA YAYA
AYAYA YAYA
AYAYA AYAYAYA
AYAYYA AYAYYA
AYAYYA AYYAYA

MAMAAAAA
PANGO RECORD..

SOCIAL MEDIA
INST: ‪@franckietower5944‬
Facebook ‪@franckietower5944‬
tiktok‪@franckietower5944‬
x ‪@franckietower5944‬

Комментарии

Информация по комментариям в разработке