Padre Twin'omukama asema na wanaoibeza Imani Katoliki.

Описание к видео Padre Twin'omukama asema na wanaoibeza Imani Katoliki.

Homilia wakati wa adhimisho la Misa takatifu ya kutamatisha wiki Vijana Wakatoliki Wafanyakazi (VIWAWA) kutoka Parokia ya Mt. Bruno Sserunkuma- Kimwani Jimbo Katoliki Bukoba.

Misa takatifu imeadhimishwa na Paroko wa Parokia hiyo Padre Renovatus Twin'Omukama kwa kushirikiana na Padre Evodius Rugemalira Mwalimu na mlezi Seminari ya Mt. Maria - Rubya.

Tunaomba radhi kwa lugha iliyotumika hapo kwa wale ambao hawatoielewa kwa ufasaha.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja

Комментарии

Информация по комментариям в разработке