Goli la Masawe | Namungo FC 1-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League 28/09/2024

Описание к видео Goli la Masawe | Namungo FC 1-0 Tanzania Prisons | NBC Premier League 28/09/2024

Goli pekee kutoka kwa Jacob Masawe limeipa ushindi wa bao 1-0 namungo FC dhidi ya Tanzania Prisons, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Majaliwa, Ruangwa, Lindi.....

Hili ni goli la kwanza kwa Wajelajela Tanzania Prisons kuruhusu msimu huu baada ya mechi sita....

Комментарии

Информация по комментариям в разработке