Fursa ya kuwezeshwa wakulima wa zao la mpunga na mpango wa kidigitali wa Africaconnect.

Описание к видео Fursa ya kuwezeshwa wakulima wa zao la mpunga na mpango wa kidigitali wa Africaconnect.

#YaraTanzania#kilimochampunga#AfricaConnect

Yara Tanzania Ltd imekuja na Programu ya Africaconnect kwa pamoja na wabia @equitybanktz @agriculturalseedagency @info.wilmar.co.id @corteva yenye lengo la kuwasaidia wakulima wa mpunga hapa nchini kufaidika na upatikanaji wa mikopo nafuu ya kilimo/punguzo kubwa la bei kwenye pembejeo zenye ubora wa hali ya juu (mbegu,mbolea na viwatilifu) na masoko ya uhakika hivyo kuongeza tija na uzalishaji nchini.

Jisajili Sasa katika mpango wa africaconnect kupitia linki hii https://survey.alchemer.eu/s3/9043118... au kwa kupiga 0800750188 huduma hii ni Bure.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке