HISTORIA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD/KIONGOZI MWENYE MSIMAMO USIOYUMBA

Описание к видео HISTORIA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD/KIONGOZI MWENYE MSIMAMO USIOYUMBA

Historia inashuhudia kuwa Maalim Seif ndiye kiongozi mwenye uzoefu mkubwa wa kisiasa miongoni mwa viongozi wa upinzani. Ameshiriki siasa za Tanzania Bara na Zanzibar kwa zaidi ya miongo minne mfululizo. Zaidi ya yote, amethibitika kuwa ni kiongozi mwenye msimamo usioyumba. Kwa hatua hii, ni vigumu—na pengine haiwezekani—kuandika historia ya Zanzibar bila kutaja jina na Maalim Seif Sharif Hamad.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке