LSK yatishia kuishtaki idara ya polisi kwa dhuluma dhidi ya waandamaji

Описание к видео LSK yatishia kuishtaki idara ya polisi kwa dhuluma dhidi ya waandamaji

Chama cha mawakili humu nchini-LSK kimesema kitaichukulia hatua za kisheria huduma ya taifa ya polisi kwa madai ya kukiuka katiba wakati wa kukabiliana na waandamanaji waliokuwa wakitekeleza haki yao ya kikatiba. Akiongea katika uwanja wa hospitali ya kitaifa ya Kenyatta, rais wa chama cha LSK Faith Odhiambo aliwashtumu maafisa wa polisi kwa kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya wakenya wasio na hatia ambao waliku wakipinga mswada wa fedha wa mwaka-2024. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Jackline Macharia, wakenya wanaendelea kumiminika katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta kuwatafuta wapendwa wao ambao bado haijulikani waliko baada ya maandamano yaliyofanyika Jumanne na Alhamisi.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv  
Check our website: https://www.kbc.co.ke/


#kbcchannel1 #news #kbclive

Комментарии

Информация по комментариям в разработке