Madaktari wasema watajitokeza hapo kesho kutoa huduma kwa wote watakaojeruhiwa wakiandamana

Описание к видео Madaktari wasema watajitokeza hapo kesho kutoa huduma kwa wote watakaojeruhiwa wakiandamana

Madaktari nchini wamesema watajitokeza kwa wingi hapo kesho kutoa huduma za kwanza kwa wote watakaojeruhiwa wakiandamana. Haya yanajiri huku daktari Austin omondi maarufu Japrado akiachiliwa baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке