AWESO ACHUKIZWA AMSIMAMISHA MENEJA DAWASA KINYEREZI "SIJAJA KUCHEZA WALA KUUZA SURA"

Описание к видео AWESO ACHUKIZWA AMSIMAMISHA MENEJA DAWASA KINYEREZI "SIJAJA KUCHEZA WALA KUUZA SURA"

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha Meneja wa DAWASA Kinyerezi Burton Mwalupaso Kwa kushindwa kutekeleza vyema majukumu yake ikiwa ni pamoja na kushindwa kujua Takwimu kamili za mahitaji ya Maji kwenye eneo hilo sambamba na malalamiko mengi ya wananchi.

Waziri Aweso ametoa maelekezo hayo Leo wakati akizungumza na Wananchi wa Tabata Kinyerezi katika ziara yake ya kukagua hali ya huduma ya maji katika Jiji la Dar es Salaam.

"mimi kinyerezi sijaja kuuza sura tumekuja tuelezane ili tuweze kuhakikisha tunawasaidia wananchi maji hayahitaji siasa, ukicheka na nyenyere anayekutambalia kwenye mapaja utang'atwa pabaya siko tayari kung'atwa" Waziri Aweso

Комментарии

Информация по комментариям в разработке