Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo

Описание к видео Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo

Huduma yetu ya mkopo wa simu inayoitwa Miliki Simu, Lipa Mdogo Mdogo, ina mchango mkubwa katika kuwainua kiuchumi wanawake wa Tanzania. Inawawezesha kuongeza ujuzi na kupata teknolojia muhimu inayowasaidia kushiriki katika shughuli zao za ujasiriamali. Mpango huu unaenda sambamba na azma yetu ya kuongeza mısaada ya kifedha katika kuhamasisha usawa wa kijinsia.
#PamojaTunaweza #WekezakwaWanawake #Ongezakasiyamaendeleo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке