WAJASIRIAMALI WA MBOGAMBOGA MUHEZA WAELEZA NAMNA SOKO LILIVYO

Описание к видео WAJASIRIAMALI WA MBOGAMBOGA MUHEZA WAELEZA NAMNA SOKO LILIVYO

Wajasiriamali wa kikundi cha juhudi kinacho jishughulisha na ukulima wambogamboga pamoja na usindikaji wa vyakula kilichopo Tarafa ya Bwembwera wilayani Muheza wameeleza namna ambavyo wananufaika katika biashara inayotokana na zao la mhogo .
Wakizungumza na Tanga televisheni moja RUKIAH CHARAZA amesema kuwa wanatengenza bidhaa zinazotokana na zao la Mhogo ikiwemo keki,Mandazi na chapati kutokana na unga wa zao hilo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке