| GIZA LA UTAJIRI | Mtandao wa watu wenye ushawishi Nairobi

Описание к видео | GIZA LA UTAJIRI | Mtandao wa watu wenye ushawishi Nairobi

Jioni hii ya leo, Runinga ya Citizen inakuletea taarifa maalum ya upekuzi kuhusu kundi la mtandao wa watu wenye ushawishi mkubwa, mtandao unaoshirikisha maafisa wakuu serikalini na wenye uwezo wa hata kunyang'anya mmiliki rasmi wa bunduki na hata cheti cha usafiri. Mtazamaji, mtandao huu una ushawishi mkubwa hadi kwenye ofisi kuu za polisi na idara ya uhamiaji. Haya yalibainika kwenye kisa kinachomuhusisha Mzee Dilip Bakrania, mfanyibiashara mwenye asili ya kihindu na nusra afurushwe nchini kutokana na njama zao. Huyu hapa Purity Mwambia na taarifa hiyo ya upekuzi ' GIZA LA UTAJIRI'

Комментарии

Информация по комментариям в разработке