VITASA | Loren Japhet vs Issa Nampepeche | Dar Boxing Derby 29/06/2024

Описание к видео VITASA | Loren Japhet vs Issa Nampepeche | Dar Boxing Derby 29/06/2024

Raundi zote nane zilikuwa moto… lakini raundi ya tano na raundi ya nane zilikuwa kali zaidi, Loren Japhet akiondoka na ushindi wa pointi dhidi ya Issa Nampepeche.

Al manusura tupate ‘KO’…..!!!!

Lilikuwa ni pambano la sita katika mapambano ya utangulizi Usiku wa Vitasa Dar Boxing Derby uliofanyika Uwanja wa Posta, Kijitonyama Dar es Salaam.
Main Card ilikuwa ni Nassib Ramadhan vs Juma Choki.

#NyieHamuogopi #DarBoxingDerby #Vitasa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке