Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA

Описание к видео Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA

Tamko hili la Jeshi la Polisi limekuja siku mbili baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutangaza maandamano yatakayofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 23 iwapo Serikali haitawajibika kufanya uchunguzi wa kifo cha kiongozi wao Alli Kibao aliyetekwa na kuuawa.

Lengo la Maandamano hayo kwa mujibu wa CHADEMA ni kusinikiza uwajibikaji wa kifo cha kiongozi mwenzao.

Hata hivyo jana Septemba 12 Kamanda Mkuu wa Polisi IGP Camillus Wambura katika mkutano wa mwaka wa Jeshi la Polis uliyofanyika mkoani Kilimanjaro alisema hali ya usalama nchini ni shwari.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке