Kundi la M23 latishia mji wa Goma

Описание к видео Kundi la M23 latishia mji wa Goma

- - - - -
#VOASwahili

Hali ni ya wasiwasi katika mji wa Goma huku wananchi wakihofia tishio la kundi la wapiganaji la M23 kuvamia na kuchukua mji wa Goma kufuatia mapambano yanayoendelea mashariki mwa DRC kati ya M23 na kundi la wanaojiita wazalendo wakitetea wananchi wa DRC.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке