Narudi Kwako - St. Mark's Nzoia Choir

Описание к видео Narudi Kwako - St. Mark's Nzoia Choir

Wimbo huu ni wa kipindi cha Kwaresima ama wakati wowote wa kuashiria msamaha, na asili yake ni hadithi ya mwana mpotevu. Ni utunzi wake mwalimu Ochieng Odongo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке