ETI MAENEO YA BEACH KUNA MAJINI?

Описание к видео ETI MAENEO YA BEACH KUNA MAJINI?

Kuna watu wanahofia kununua viwanja maeneo ya Beach kwamba kuna majini🤣🤣.

Maeneo ya Beach wanaka madoni, na maenel ya beach si ndio tunapendaga kwenda kukaa na kurefresh mind baada ya ushovu wa kazi zetu?
Sasa basi, hata wewe unaweza kuishi karibu na ufukwe. Unachopaswa ni kununua zako kiwanja na uanze kujenga mdogomdogo. Fursa Credit Services itakuwezesha kwa kukusaidie ulipie kwa awamu hadi umalize na upate hati yako.

Miradi ya Beach ipo mingi.
Mita 800 kutoka beach
Mita 400 kutoka beach.

Yote ikiwa wilaya ya kigamboni.
Bei ni kuanzia 4,800,000 na kuendelea.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane

0659 308250

VIWANJA VYA BEACH HAVINA MAJINI.
TUTAFUTE HELA TU.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке