Mwanzo Mwisho Wakili Rugemelela Nshala Awasha Moto Kuhusu Utekaji na Sheria Kandamizi

Описание к видео Mwanzo Mwisho Wakili Rugemelela Nshala Awasha Moto Kuhusu Utekaji na Sheria Kandamizi

Amezungumzia kuhusu maamuzi mbalimbali ambayo Serikali imekua ikipuuza kutoka kwa Mahakama ambayo yamekuwa yakiathiri moja kwa moja maisha ya watu.

wakili Nshala Amesema ku na haja ya kuwa na Sheria ambazo zitailazimisha Serikali kuwatafuta waliyopotea kulingana na mikataba ya kimataifa kama ambavyo Taifa limkubaliana na mikataba hiyo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке