#NGORONGORO

Описание к видео #NGORONGORO

#NGORONGORO: Bado maombi yanaendela kwaajili ya wananchi waonaodai haki yao baada ya tume ya taifa ya uchaguzi kuhamisha majina ya wakazi wa tatafa ya ngorongoro kupeleka katika kituo cha kupigia kura wilayani Handeni. mkoani Tanga. kijiji cha msomera. ambayo ni jambo ambalo ni kinyume na sheria ya Tume ya uchaguzi.

Usisahau kusabscribe channel yetu kulike kushare na kucomment. Asante. #Bulationlinetv.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке