"RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA

Описание к видео "RPC ni Mtu mdogo siwezi kuzungumza nae, nimempa siku 3' - MSUKUMA

Mbunge na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Msukuma ameongea kwa mara ya kwanza baada ya kukamatwa na Polisi na kulazwa sero kwa zaidi ya saa 48.

Baada ya kuachiwa kwa dhamana ameongea na AyoTV kuhusu kosa lake lililofanya akamatwe na kusema pia kwamba RPC wa Geita ana roho mbaya.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке