KARIAKOO DERBY | Charles Hilary, Sued Mwinyi, wachezaji wa zamani wazungumzia utamu kariakoo derby

Описание к видео KARIAKOO DERBY | Charles Hilary, Sued Mwinyi, wachezaji wa zamani wazungumzia utamu kariakoo derby

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Zanzibar na mtangazaji mkongwe nchini Charles Hilary, Sued Mwinyi na wachezaji wa zamani Dua Said wa Simba na Juma Pondamali wa Yanga SC wamesimulia uhondo mechi ya #DerbyYaKariakoo enzi hizo ikitangazwa kupitia redio.

Ni kuelekea mechi ya watani wa jadi kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC hapo Aprili 16, 2023.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке