'Nyuki ni rafiki wa binadamu'

Описание к видео 'Nyuki ni rafiki wa binadamu'

Ufugaji wa nyuki imezoeleka hufanyika porini mbali na makazi ya watu lakini Ally Ramdhani amebadili dhana hiyo kwa kuwafuga nyuki nyumbani kwake lengo ikiwa ni kuzalisha asali safi na salama kwa ajili ya matumizi ya kawaida na tiba.

Kwa sasa ana mizinga zaidi ya 100 ambayo yote ina nyuki wakubwa na kila mzinga huurina mara mbili kila mwaka.

#bbcswahili #tanzania #wadudu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке