Roma Akumbushia Alivyotekwa Tigo Fiesta Classic Mbeya, Apandishwa Jukwaani kwa "Wheelchair"

Описание к видео Roma Akumbushia Alivyotekwa Tigo Fiesta Classic Mbeya, Apandishwa Jukwaani kwa "Wheelchair"

Tazama jinsi Roma Mkatoliki alivyopanda jukwaani akiwa amefungwa sehemu za mwili wake kukumbushia jinsi alivyotekwa kabla ya kuungana na Stamina kupiga bonge la show

Комментарии

Информация по комментариям в разработке