Mchambuzi awapa ujumbe Yanga matokeo ya ugenini Ligi ya Mabingwa Afrika

Описание к видео Mchambuzi awapa ujumbe Yanga matokeo ya ugenini Ligi ya Mabingwa Afrika

“Mechi za ugenini zote atakutana na changamoto ambayo watu wengi hawajaifikiria” maneno ya mchambuzi wa soka Rashid Hamis akilichambua kundi “A” kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Rashidy anaamini ya kwamba Yanga watavuka kwenda hatua ya robo fainali.


#CAFCL #CAFCC

Комментарии

Информация по комментариям в разработке