NDOTO YA UDHU INAJULISHA: NURU YAKO: MVUTO WAKO:KUPONA MARADHI: UTAONDOKEWA NA MATATIZO SHIDA,MIKOSI

Описание к видео NDOTO YA UDHU INAJULISHA: NURU YAKO: MVUTO WAKO:KUPONA MARADHI: UTAONDOKEWA NA MATATIZO SHIDA,MIKOSI

وضوء في المنام:
KUOTA NDOTO UNATAWADHA UDHU: HIZI HAPA MAANA ZAKE:
***********************************************

Na mwabdishi wako khamisi suleiman, piga simu namba:
+255713439891
+255685496336
+255776969998

WhatsApp:
+255765893020
+255758678552

Telegram;
+255758678552
*****************

1. Mtu anapolala kisha akaota kua natawadha udhu wake kwa kutumia maji au kutayamamu, na akawa kapatia hadi mwisho, basi njozi inakujulisha kua:
"Hiyo ni nuru ndani nuru"
"Hiyo ni kukidhi haja kwa viongozi"
"Hiyo ni kukamilika kwa mipango yako"
"Nakama ni mgonjwa utapona"
"Nakama unamatatizo basi yataondoka"
"Nakama kuna kitu unaogopa basi utakua na amani"
"Nakama unadeni basi madeni utayalipa"

2. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha kwa kutumia maziwa au asali, basi njozi inamjulisha kua:
"Hiyo ndio dini na imani yako"

3. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha udhu kwa kutaka kwenda kusali, basi njozi inamjulisha kua:
"Upo katika amani ya Mwenyezi Mungu kwa yote unayoyakhofu kutoka kwa adui zako"

4. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha udhu wake ndani ya qulatain, au akakoga ndani yake, basi njozi inakujulisha kua:
"Utarejeshewa kitu kilichoibiwa kwako"

5. Mtu anapolala kisha akaota kua katawadha udhu wake ndani ya qulatain, kisha akaenda kuswali, basi njozi inamjulisha kua:
"Utaondokewa na matatizo, shida, na mitihani, na utamshukuru mola wako mlezi"

6. Mtu anapolala kisha akaota kua unatawadha udhu wako, lakini unatumia kutawadha kwa vitu visivyo kubalika kupatia udhu, basi njozi inakujulisha kua:
"Upo katika juhudi ya kupambania kitu ukipate lakini hutokipata kitu hicho"

7. Mtu ambae ni tajiri akalala kisha akaota kua anasali pasinakua na udhu, basi njozi inamjulisha kua:
"Hivi punde mali zake zitaanza kupotea kwanamna asiyoijua"

8. Mtu kama shughuli zake ni zaufundi akalala kisha akaota kua anasali pasinakua na udhu, basi njozi inamjulisha kua:
"Hutokua na kazi za kudumu"

9. Mtu kiongozi kama raisi, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya, anapolala kisha akaota kua anasali pasinakua na udhu, basi njozi inamjulisha kua:
"Huna majeshi imara, na hao ulionao watakusaliti"

10. Mtu anapopala kisha akaota kua anasali bila udhu, na hata hapo anaposali hapastahili kusali, basi njozi inakujulisha kua:
"Utapatwa na mfadhaiko katika mambo yako, na unayoyatafuta hutoyapata"

11. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha juu ya kitanda chake kwakua hawezi kuinuka kwa sababu ya maradhi mazito aliyonayo, basi njozi inamjulisha kua:
"Utafarakana wewe na mkeo au rafiki yako"

12. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha katika nyumba anayoishi, basi njozi inamjulisha kua:
"Hutodumu katika nyumba hiyo"

13. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha udhu wake katika soko lenye watu wengi au unatawadhia bafuni, basi njozi inakujulisha kua:
"Umeghadhibikiwa na Mwenyezi Mungu na malaika zake, na utapatwa na fedheha kubwa, na utapatwa na khasara kubwa, na yote yaliyo ya aibu kwako yatadhihiri kwa watu"

14. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha udhu wake njia panda au fukweni mwa bahari, basi njozi inakujulisha kua:
"utapata wepesi katika matatizo yako, na utaondokana na machawi uliyorogwa, na utaondokana na machungu yote uliyonayo, na utaondokana na shida na matatizo maishani mwako"

15. Mtu unapolala kisha ukaota kua rafiki yako anatawadha udhu wake juu ya kichwa chako, basi njozi inakujulisha kua:
"Utapata madhara makubwa sana kuto kwa rafiki yako huyo, na utapatwa na fedheha kubwa, na utapata matatizo makubwa kutoka kwa rafiki yako huyo"

16. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha maji ya uvuguvugu, au ukayakoga au ukayanywa, basi njozi inakujulisha kua:
"Utapatwa na matatizo mazito au utapatwa na maradhi mazito"

17. Mtu anapolala kisha akaota kua anatawadha udhu wake, lakini kila anavyotawadha anajikuta anakosea, kisha anaanza tena lakini bado anakosea, kwahiyo jambo la udhu linakua zito kwake, basi njozi inakujulisha kua:
"Mambo yako yamekua mazito, maisha yako yamekua mazito"
"Umefungwa maisha yako kichawi"

MENGINEYO:
*************

* Njozi yako bishara yako, kwakua inakuja kukubashiria mazuri utakayoyapata.
* Njozi yako nidhari kwako, kwakua inakuja kukunadhisha kwa yale mabaya yanayoweza kuja kukukuta.
* Njozi yako ndio taarifa ya maelekezo ndani ya maisha yako, kwakua njozi zinatabia ya kumuelezea mtu maisha yake ya sasa, maisha yaliyopita, maisha ya baadae.
* Usikubali kuitelekeza njozi yako, ukaitupa ukaidharau kwahakika utakua umefanya kosa kubwa maishani mwako.

Waweza kuwasiliana namimi mwadishi wa makala haya, shekh khamisi suleiman kwa namba hizi:

+255713439891
+255776969998
+255685496336

WhatsApp:
+255765893020
+255758678552

Telegram:
+255758678552

Комментарии

Информация по комментариям в разработке