IEBC: Makamishina 4 walioasi matokeo ya uchaguzi wakubaliana na taarifa ya Chebukati

Описание к видео IEBC: Makamishina 4 walioasi matokeo ya uchaguzi wakubaliana na taarifa ya Chebukati

Makamishina wanne walioasi matokeo ya uchaguzi, sasa wanaonekana kulegeza msimamo wao. Katika taarifa waliyotuma kwa vyombo vya habari, makamishena hao walisema kwamba wanakubaliana na taarifa aliyotoa Wafula Chebukati, huku wakiashiria kuwa wamekubali uamuzi wa mahamaka ya upeo ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto, licha ya kuwa ulienda kinyume na msimamo wao wa awali.

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке