TAKUKURU KINONDONI TUMEPOKEA MALALAMIKO 32 YA RUSHWA | ELIZABETH:

Описание к видео TAKUKURU KINONDONI TUMEPOKEA MALALAMIKO 32 YA RUSHWA | ELIZABETH:

@dunialeo

Hayo yamesemwa na Bi. Elizabeth Mokiwa, Naibu Mkuu wa TAKUKURU (M) Kinondoni akiongea na Waandishi wa Habari wakati akitoa taarifa kwa umma ya utendaji kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ambayo ni Aprili 2024 hadi Juni 2024, Agost 5, 2024 Dar es Salaam.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке