Nisaidie - Fred Msungu Ft Friends (Official Music Video)

Описание к видео Nisaidie - Fred Msungu Ft Friends (Official Music Video)

Wimbo wa nisaidie ni wimbo ambao nimeshirikiana na marafiki zangu Ambwene Mwasonge , The voice , Eliya Mwantondo , Beda Andrew , Nsajigwa Modecai na Peace Mbogo
Nisaidie ni wimbo ambao unalenga kumtia moyo mtu ambaye amekata tamaa, amekataliwa , kuumizwa na kukosa msaada .Pamoja na hayo yote bado unaweza kumwamini Mungu akakuinua tena , kuondoa maumivu yako na kukupa sababu ya kuishi kwa ushindi tena.Hiajalishi napitia wakati mgumu kiasi gani omda maombi haya rahisi pamoja na mimi mwambie Mungu " NISAIDIE "
#

Комментарии

Информация по комментариям в разработке