MWINJILISTI JOSEPH SANGA SOMO; SIKU ZA MWISHO. kama vile siku za Nuhu kabla ya gharika

Описание к видео MWINJILISTI JOSEPH SANGA SOMO; SIKU ZA MWISHO. kama vile siku za Nuhu kabla ya gharika

Siku za mwisho zinakaribisha siku ya mwisho tuko siku za mwisho tunapaswa kumwomba Mungu atusaidie sana kushinda siku ya mwisho Na dalili nyingi za mwisho wa ulimwengu huu zimeonekana katika kitabu cha marko13 luka21 na Mathayo 24 kuna ishara nyingi za mwisho wa ulimwengu huu kama vile siku za Nuhu walipokuwa wakistarehe wakila na kunywa wakioa na kuolewa wakilewa wakizini na wakilewa sana hata hawakumwamini Mungu wala Nuhu aliyetumwa na Mungu mpaka sasa hivi watu wanashindwa kumwamini mtumishi wa Mungu Mwinjilisti joseph sanga
ukipata neema ya kupata wokovu na mafundisho ya uzima kama hili jitahi kumwambia na mwenzako naye apate wokovu wa Mungu
kupitia SOMO SIKU ZA MWISHO naomba nikupe shauku kufuatilia masomo zaidi na pia usisahau kuangalia masomo yaliyo tangulia hapo mwanzo katika channel hii Mungu akubariki sana mtumishi
wahi sasa lango la mbinguni liko wazi usisahau kusabscribe comment na ku share asante sana na Mungu wa mbinguni akubariki sana mtumishi asante sana kwa kusoma ujumbe huu hadi mwisho Ahsante sana

Комментарии

Информация по комментариям в разработке