ZITTO: CCM WANAJIFUNZA 'KUNG-FU' WANATAKA WAMPIGE NANI?

Описание к видео ZITTO: CCM WANAJIFUNZA 'KUNG-FU' WANATAKA WAMPIGE NANI?

Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametilia shaka mwenendo wa chama cha CCM kutoa mafunzo ya karate na kung-fu kwa vijana wa chama hicho kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria.

Zitto amesema hayo wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika katika kata ya Mpepai, jimbo la Mbinga mjini mkoani Ruvuma, Septemba 11, 2024.

Alisema hayo baada ya diwani wa chama cha ACT Wazalendo, Donatus Mbepera kudai chama cha CCM kinageuza vyumba vya madarasa kuwa makambi ya kutoa mafunzo ya mapigano kwa vijana wake katika jimbo la Mbinga mjini.

#taifalawote #maslahiyawote #wanachamamilioni10 #miezi10 #actmedia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке