Kuku wa Vitunguu maji....wapumzishe mchuzi nyumbani

Описание к видео Kuku wa Vitunguu maji....wapumzishe mchuzi nyumbani

INGREDIENTS
KUKU WA VITUNGUU🥰

Kuku (Kiasi upendacho)
Marinade
Chicken Masala 1tbsp
Pilpil manga 1/4tsp
Barbeque Masala 1tbsp
Paprika 1tsp

Bake na 200° for 15 -20minutes

Now kwa Foil
Weka kuku uliyechoma
Weka vitunguui vya kutoshaaaa (8)
gilgilani kidogo
4tbsp soysauce
Chumvi kidoogo
Limao 2 ndogo (kubwa 1)
Oyster Sauce 1tbsp ( Sio lazimaa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке