Mwanafunzi wa shule ya upili kuchimba shimo cha kimo chake Mombasa

Описание к видео Mwanafunzi wa shule ya upili kuchimba shimo cha kimo chake Mombasa

Mwanafunzi mmoja wa shule ya upili ya Mtopanga katika kaunti ya Mombasa alilazimika kukosa masomo kwa siku tano akichimba shimo aliloagizwa litoshane na kimo chake. Kisa na maana? Kukosa kufika shuleni alasiri moja.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке