Uniondolee Dhambi Nitakase | Sauti Tamu Melodies (Wimbo wa Kwaresma | Ash Wednesday | Lent)

Описание к видео Uniondolee Dhambi Nitakase | Sauti Tamu Melodies (Wimbo wa Kwaresma | Ash Wednesday | Lent)

Uniondolee dhambi nitakase, unioshe niwe mweupe pe
Nakiri makosa yangu, naziona dhambi zangu
unioshe nowe mweupe pe.


Fuatilia nyimbo za kipindi cha Kwaresma, nyimbo za njia ya msalaba (Way of the Cross Catholic songs), nyimbo za jumatano ya majivu (Ash Wednesday Catholic Songs/ lent songs) katika channel hii kama vile Watumishi wake Baba, Amin Amin Nawaambia, Kuteswa Kwake Bwana, Yesu akalia kwa sauti, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama.

nyimbo nyingine maarufu za kwaresma ni Lakini hata sasa/nirudieni mimi, rarueni mioyo na nyinginezo.

umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki

Kinanda kimechezwa na Gabriel C Mkude Sekulu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке