King Kiba alivyoisimamisha Mombasa na wakazi wake

Описание к видео King Kiba alivyoisimamisha Mombasa na wakazi wake

Ndoa ya King Ali Kiba ilikuwa gumzo la kutisha ndani ya mji wa Mombasa na viunga vyake. Wakazi na wahamiaji wa mji huo wakajikuta wakisherehekea harusi ya King Ali Kiba. Hebu jumuika nao upate kufurahi pia.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке