Utapenda!! Mwanafunzi Alivyoigiza Sauti ya Rais Samia | Anaongea Kama Mama Samia Kabisa.

Описание к видео Utapenda!! Mwanafunzi Alivyoigiza Sauti ya Rais Samia | Anaongea Kama Mama Samia Kabisa.

Kajaribu au Kapita Mulemule⁉️ Unampa % ngapi huyu Mwanafunzi kwa Kuigiza Sauti ya Mhe. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. (25, 50, 75, 95 au zote 100)

Huyu Mwanafunzi tutamtafuta, tumepata taarifa kuwa anapatikana Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Subscribe Mapema.

🎯 @focusdigitotv LENGO, MAISHA YAENDELEE.

#FocusDigitoTV #FocusDigitoUpdates #tanzanian

Комментарии

Информация по комментариям в разработке