Tazama jinsi msafara wa JPM na Kenyatta ulivyowasili katika uwanja Chato

Описание к видео Tazama jinsi msafara wa JPM na Kenyatta ulivyowasili katika uwanja Chato

Tazama jinsi msafara wa Rais Magufuli na Rais Kenyatta ulivyowasili katika uwanja wa ndege wa Chato tayari kwa Rais Kenyatta kurejea nchini Kenya baada ya ziara binafsi ya siku mbili wilayani Chato mkoani Geita.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке