TIPS: Kuwa Mwandishi wa Vitabu | Becoming a published author

Описание к видео TIPS: Kuwa Mwandishi wa Vitabu | Becoming a published author

Hizi ni mbinu zitakazokusaidia kuwa mwandishi wa vitabu. Unaanzaje kuandika kitabu, na ufanye vipi uweze kukamilisha kuandika kitabu na kukichapisha?

Video hii fupi inakupa mbinu chache ambazo nilizitumia na kuwa mwandishi wa vitabu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке