MBINGU ZIMESAINI (Groupe Alleluia Nyarugusu) SHINA LA YESE

Описание к видео MBINGU ZIMESAINI (Groupe Alleluia Nyarugusu) SHINA LA YESE

MBINGU ZIMESAINI ni wimbo uliyojaa nguvu ya Mungu unao tusogeza katika kumbukizi ya mpango wa kuokolewa kwa Mwanadamu. Ni moja kati ya Nyimbo za Albumu ya SHINA LA YESE,uliyoimbwa na Groupe alleluia ya Nyarugusu Tanzania. Watsaap yetu +1902 440 3883

Комментарии

Информация по комментариям в разработке