Tukaze Mwendo - AIC Seum Choir ( Official Video )

Описание к видео Tukaze Mwendo - AIC Seum Choir ( Official Video )

#tukazeMwendo


Safari Ni ndefu
lazima tukaze mwendo ndipo tuweze kuifikia ile taji ya Ahadi. njian Kuna vikwazo, matusi, kuchekwa, kuzarauliwa, kutukanwa na mengine mengi. hivyo vyote Ni vikazo ili tushindwe kusonga mbele. simama imara songa mbele.


Audio Producer
ELLY Music / Seum Records Studio
Video Director
Vintage Visual Art

for booking
+254 707 630 205
[email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке